Ewura yatangaza bei mpya ya mafuta, yapanda bandari zote
Kuanzia Machi 4, 2026, wateja wa mafuta Tanzania wameanza kulipa bei za juu zaidi katika pampu za petroli, dizeli na mafuta ya taa. Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za kikomo ambazo zimepanda kutokana na ongezeko la bei za mafuta kwenye soko la dunia, hasa katika Ghuba ya Kiarabu (Arab…