Namba ya cheti cha kuzaliwa ni ipi
Namba ya Cheti cha Kuzaliwa ni Ipi? Cheti cha kuzaliwa (Birth Certificate) ni moja ya nyaraka muhimu sana katika maisha ya mtu. Ni hati rasmi inayothibitisha wakati, mahali, na mazingira ya kuzaliwa kwako. Moja ya vitu muhimu kinachopatikana kwenye cheti cha kuzaliwa ni namba ya cheti (Certificate Number). Namba ya Cheti cha Kuzaliwa ni nini?…