Vyakula Hatari kwa Mgonjwa wa Kisukari: Orodha ya Vyakula vya Kuepuka Ili Kudhibiti Sukari ya Damu

Vyakula Hatari kwa Mgonjwa wa Kisukari: Vyakula Vinavyoweza Kuongeza Sukari Mwilini na Jinsi ya Kuviepuka Kisukari ni ugonjwa unaohitaji uangalizi mkubwa wa mtindo wa maisha, hasa kwenye aina ya vyakula vinavyoliwa kila siku. Watu wengi wanaoishi na kisukari huwa wanajiuliza: “Ni vyakula gani vinaweza kuongeza sukari yangu?” au “Ni vyakula gani ninapaswa kuviepuka?” Ukweli ni…

Read More

Dalili za Ugonjwa wa Kisukari na Jinsi ya Kujikinga

Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus) ni moja ya magonjwa yanayoongezeka kwa kasi duniani, hasa aina ya 2 ambayo hutokana na mtindo wa maisha. Ugonjwa huu hutokea wakati mwili hauwezi kutumia au kutengeneza insulini vizuri, hivyo kusababisha sukari (glucose) kuongezeka damuni. Ikiachwa bila kudhibitiwa, inaweza kusababisha matatizo kama ugonjwa wa moyo, kuharibu macho, figo na mishipa…

Read More