JWTZ Ajira 2025/2026
JWTZ Ajira 2025/2026: Nafasi za Kuandikishwa Jeshini – Tangazo Rasmi na Maelezo Kamili Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ au TPDF) limekuwa likitangaza nafasi za kuandikishwa (recruitment) mara kwa mara ili kuimarisha ulinzi wa taifa na kujaza nafasi za wataalamu mbalimbali. Katika mwaka wa 2025/2026, JWTZ ilitangaza rasmi nafasi mpya za kuandikishwa Jeshini…