👉 Mbinu za Bei (Pricing Psychology) Zinazokufanya Uuze Zaidi Bila Kupunguza Faida

Utangulizi Watu wengi wanafikiri njia ya kuuza zaidi ni kushusha bei—hili ni kosa kubwa. Kushusha bei bila mkakati kunaua biashara polepole. Ukweli ni huu:Sio bei ndogo inauza—ni jinsi bei inavyoonekana kwa mteja. Kabla hujaendelea, hakikisha unajua:đź”— Jinsi ya kuongeza mauzo ya biashara ndogo (mbinu 7 zinazofanya kazi) 1. Mbinu ya “Charm Pricing” (Bei Zinazoishia na…

Read More