Alama za nembo ya Taifa
Nembo za Taifa: Alama za Utambulisho, Historia na Maadili ya Taifa Kila taifa duniani lina nembo (national symbols au emblems) zinazokubalika rasmi na kulindwa na sheria. Nembo hizi zinawakilisha maadili, historia, rasilimali, na umoja wa watu wake. Kwa Tanzania, nembo kuu ni pamoja na Bendera ya Taifa, Nembo ya Taifa (Coat of Arms au Ngao),…