NHIF Self Service: Simamia Bima Yako ya Afya Mtandaoni – Rahisi na Salama!
NHIF Self Service: Simamia Bima Yako ya Afya Mtandaoni – Rahisi na Salama! NHIF Self Service ni jukwaa rasmi la kidijitali la NHIF ambalo linawezesha wanachama (members), waajiri (employers), watoa huduma za afya (service providers) na mawakala (agents) kusimamia mambo yote ya bima ya afya bila kupoteza muda kwenye foleni au ofisi. Hii ndiyo inayopendwa…