Jinsi Ya Kuanza Freelancing Tanzania/Kenya na Kupata Client Wa Kwanza
Jinsi ya Kuanza Freelancing Tanzania na Kupata Clients Wa Kwanza Watu wengi Tanzania wamewahi kusikia neno “freelancing”… Lakini wachache wanaelewa lina maana gani kweli. Wengine wanafikiri freelancing ni scam. Wengine wanaamini lazima uwe: programmer mkubwa, expert wa English, au uwe na laptop ya gharama. Ukweli ni tofauti kabisa. Leo hii kuna watu Tanzania wanaingiza pesa…