Sifa za kujiunga na chuo cha bandari

Chuo cha Bandari (Bandari College Dar es Salaam), kinachomilikiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), ni moja ya taasisi muhimu za mafunzo nchini Tanzania zinazotoa elimu na ujuzi katika sekta ya bandari, usafirishaji wa baharini, logistics, usimamizi wa mizigo, na fani zinazohusiana na shughuli za bandari. Chuo hiki kiko Dar es Salaam (karibu…

Read More