Vijana Wengi Wanachelewa Kuoa: Sababu Kuuna za Kuchelewa Kufunga Ndoa Tanzania
Vijana wengi wanachelewa kuoa. Hii si kauli ya kawaida tu – ni hali inayoonekana wazi katika mitaa ya Dar es Salaam, Dodoma, Arusha na miji mingine nchini Tanzania. Unakutana na vijana wa miaka 28, 32 hata 36 ambao bado wako single, wanaishi peke yao au wanaishi na mpenzi bila kufungana ndoa rasmi. Takwimu za Ofisi…