Dalili za Ugonjwa wa Kisukari na Jinsi ya Kujikinga

Ugonjwa wa kisukari (diabetes mellitus) ni moja ya magonjwa yanayoongezeka kwa kasi duniani, hasa aina ya 2 ambayo hutokana na mtindo wa maisha. Ugonjwa huu hutokea wakati mwili hauwezi kutumia au kutengeneza insulini vizuri, hivyo kusababisha sukari (glucose) kuongezeka damuni. Ikiachwa bila kudhibitiwa, inaweza kusababisha matatizo kama ugonjwa wa moyo, kuharibu macho, figo na mishipa…

Read More