🌸 Sababu za Kutokwa na Uchafu Ukeni na Maana Zake (Rangi Tofauti Zinaashiria Nini?)
Kutokwa na uchafu ukeni ni hali ya kawaida kwa mwanamke—lakini si kila uchafu ni wa kawaida. 👉 Rangi, harufu na muonekano vinaweza kukuambia mengi kuhusu afya yako. ✅ Uchafu wa Kawaida Ukoje? Uchafu wa kawaida huwa: Mweupe au transparent Hauna harufu kali Hauleti muwasho 👉 Huu ni sehemu ya kujisafisha kwa mwili ⚠️ Aina za…