Kocha Anaelipwa Mshahara Mkubwa Duniani 2026: Diego Simeone – Mfalme wa Choloism na Mfuko Mkubwa wa Pauni Milioni 25.9!

Katika ulimwengu wa soka ambapo wachezaji wengi hupokea mishahara ya kustaajabisha, kuna wakati ambapo kocha huwa ndiye “mfalme” wa fedha. Mwaka 2026, jina moja linajitokeza kama kocha anaelipwa mshahara mkubwa zaidi duniani: Diego Pablo Simeone. Akiwa na mkataba wa kila mwaka wa takriban pauni milioni 25.9 (karibu Sh bilioni 90 za Kitanzania), “Cholo” huyu wa…

Read More