Sifa za kujiunga na chuo cha madini arusha

Sifa za Kujiunga na Chuo cha Madini Arusha (Tanzania Gemmological Centre – TGC) Chuo cha Madini Arusha, kinachojulikana pia kama Kituo cha Jemolojia Tanzania (Tanzania Gemmological Centre – TGC), kiko Themi Hill Road, Njiro, Arusha. Kinatoa mafunzo maalumu katika fani ya madini ya vito (gemstones), ukataji, ung’arishaji, utambuzi wa madini, na usonara (jewellery making). Chuo…

Read More