HESLB Guidebook Download Pdf| Download Pdf ya HESLB Guidebook
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa Mwongozo wa Utoaji Mikopo (Guidelines and Criteria) kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Mwongozo huu ni waraka muhimu unaoeleza vigezo, taratibu na maelekezo yote yanayohitajika kwa wanafunzi wanaotaka kuomba mkopo au ruzuku ya elimu ya juu nchini Tanzania. Muhtasari wa Mwongozo wa 2026/2027 Mwongozo huu…