Faida za Kujiunga na JKT kwa Wahitimu wa Form Six
Faida za Kujiunga na JKT kwa Wahitimu wa Form Six Kwa miaka mingi, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limekuwa sehemu muhimu ya maisha kwa wahitimu wengi wa kidato cha sita Tanzania. Kila mwaka maelfu ya vijana hujiunga na mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria huku wengine wakiwa na hofu au kutokujua faida halisi za…