Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa na Kidato cha Tano 2026/2027:Form Five selection 2026/2027
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imetoa orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Tanzania, Juni 2026 – Maelfu ya wanafunzi ambao walifanya mitihani ya Kidato cha Nne (CSEE) mwaka 2025 wamepata furaha baada ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa…