FORM FIVE SELECTION 2026/2027 AWAMU YA KWANZA
Form Five Selection 2026/2027 ni mchakato unaoendeshwa na TAMISEMI kwa ajili ya kuchagua wanafunzi waliofaulu Kidato cha Nne kujiunga na Kidato cha Tano au Vyuo vya Kati. Tarehe Muhimu First Selection: Imeshafanywa leo tarehe 1/6/2026 Second Selection: Inatarajiwa hivi karibuni Third Selection: Itaendelea baadaye Tovuti Rasmi: https://selform.tamisemi.go.tz Jinsi ya Kuangalia Majina (Hatua kwa Hatua) Tembelea…