Jinsi Ya Kupata Kazi Fiverr Kwa Mara Ya Kwanza Tanzania
Namna Ya Kupata Kazi Fiverr Kwa Mara Ya Kwanza Watu wengi hufungua account Fiverr… halafu wanakaa wiki, miezi, au hata mwaka mzima bila kupata order hata moja. Mwisho wake wanaanza kusema: “Fiverr imejaa competition.” “Watanzania hatupewi kazi.” “Ni scam.” Lakini ukweli ni tofauti. Tatizo kubwa si Fiverr. Tatizo ni: profile mbaya, gigs dhaifu, na kutokuelewa…