Jinsi ya kujua namba iliyo ku hack
Jinsi ya Kujua Kama Namba Yako au Simu Yako Imehakiwa Katika enzi hii ya kidigitali, wizi wa taarifa kupitia simu umekuwa wa kawaida sana — hasa Tanzania na Afrika Mashariki. Mtu anaweza kufikia mazungumzo yako, SMS (ikiwa ni OTP za benki au M-Pesa), picha, au hata location yako bila wewe kujua. Hizi hapa dalili za…