Orodha ya Wasanii 10 Matajiri Zaidi Afrika Mashariki 2026: Diamond Bado Mfalme!

Afrika Mashariki ina moja ya tasnia za muziki zinazokua haraka barani Afrika, hasa Bongo Flava kutoka Tanzania. Wasanii wengi wamefanikiwa kugeuza talanta yao kuwa biashara kubwa kupitia matamasha, streaming, brand endorsements, lebo za muziki na uwekezaji wa mali. Hapa ni orodha ya wasanii 10 matajiri zaidi Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda) kulingana na…

Read More