Bobi wine (Historia ya Bobi wine) Kutoka Ghetto hadi Kiongozi wa Upinzani – Hali Yake Leo 2026

Robert Kyagulanyi Ssentamu, anayejulikana zaidi kama Bobi Wine, alizaliwa Februari 12, 1982 katika eneo la Nkozi, Mpigi district, Uganda. Alianza kama mwanamuziki wa reggae na dancehall katika ghetto ya Kampala, ambapo aliimba nyimbo zinazohusu maisha ya watu wa chini, ukosefu wa haki na changamoto za jamii. Nyimbo zake kama “Kiwani” na zingine zilimpa jina la…

Read More