Ada ya chuo cha hombolo cha dodoma

Chuo cha Serikali za Mitaa (Local Government Training Institute – LGTI) kilichopo Hombolo, Dodoma, ni moja ya taasisi za serikali zinazotoa mafunzo ya vitendo katika nyanja za utawala wa serikali za mitaa, fedha, usimamizi na teknolojia ya habari. Chuo hiki kiko karibu kilomita 40-42 kutoka mji wa Dodoma (karibu na barabara ya Dodoma-Morogoro), na kina…

Read More