๐ธ Sababu za Kutokwa na Uchafu Ukeni na Maana Zake (Rangi Tofauti Zinaashiria Nini?)
Kutokwa na uchafu ukeni ni hali ya kawaida kwa mwanamkeโlakini si kila uchafu ni wa kawaida. ๐ Rangi, harufu na muonekano vinaweza kukuambia mengi kuhusu afya yako. โ Uchafu wa Kawaida Ukoje? Uchafu wa kawaida huwa: Mweupe au transparent Hauna harufu kali Hauleti muwasho ๐ Huu ni sehemu ya kujisafisha kwa mwili โ ๏ธ Aina za…