Maswali ya interview ya ualimu

Usaili wa ualimu mara nyingi huwa na paneli (3–5 watu) na huchukua dakika 10–20. Huuliza maswali yanayohusu maadili ya ualimu, mbinu za kufundisha, usimamizi wa darasa, sera za elimu, na motisha yako binafsi. Mara nyingi huwa na maswali ya multiple choice au ya kueleza (open-ended). Sehemu Kuu za Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara 1. Maswali…

Read More