Jinsi ya Kujua Namba ya NIDA Online na Kwa Simu – Mwongozo Kamili
Je, umesahau namba yako ya kitambulisho cha taifa au unahitaji kujua jinsi ya kujua namba ya nida kwa haraka bila kwenda ofisini? Namba ya NIDA (pia inajulikana kama NIN – National Identification Number) ni utambulisho muhimu sana kwa kila mwananchi wa Tanzania. Inahitajika wakati wa kusajili laini ya simu, kuomba mkopo wa elimu, kufungua akaunti…