Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akufuatilie Bila Kumkimbilia
Kuna tofauti kubwa kati ya kumtaka mwanaume… na kumfanya yeye ndio akuone wa thamani kiasi cha kukufuatilia mwenyewe. Watu wengi hukosea hapa. Wanaanza kumkimbilia, kumtext sana, au kujaribu kumshawishi apende. Lakini ukweli ni kwamba attraction ya kweli haijengwi kwa kumlazimisha mtu — inajengwa kwa kumfanya yeye mwenyewe ajisikie anataka kuwa karibu na wewe. Hii hapa…