Red flags ambazo watu hupuuza mpaka waumie
Red Flags Ambazo Watu Hupuuza Mpaka Waumie Katika maisha yetu ya kila siku, mara nyingi tunakutana na ishara za hatari (red flags) ambazo zinaonyesha kuwa kitu hakiko sawa. Lakini kwa sababu ya mapenzi, matumaini, au hata ujinga, tunaamua kuzipuuza. Tunajifariji kwa kusema “labda itabadilika” au “sio hivyo ilivyo.” Mpaka siku moja tunapoamka na maumivu makali…