Mstari wa mimba na jinsia ya mtoto
Mstari wa Mimba (Linea Nigra) na Uhusiano wake na Jinsia ya Mtoto – Hadithi au Ukweli? Wakati wa ujauzito, mwili wa mwanamke hupitia mabadiliko mengi, ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya ngozi. Moja ya mabadiliko yanayoonekana sana ni mstari wa mimba, unaojulikana kitaalamu kama Linea Nigra (mstari mweusi au kahawia). Mstari huu huonekana wima katikati…