Kambi Zote za JKT Tanzania na Mikoa Yake – Orodha Kamili 2026
Kambi Zote za JKT Tanzania na Mikoa Yake – Orodha Kamili 2026 Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lina makambi mbalimbali yaliyopo katika mikoa tofauti Tanzania. Kila mwaka wahitimu wa kidato cha sita pamoja na vijana wengine wanaojiunga na JKT hupangiwa makambi tofauti kwa ajili ya mafunzo ya mujibu wa sheria. Wanafunzi wengi hupenda kujua: Kambi…