Kampuni 5 bora za simu

1. Apple (iPhone) Apple imeongoza kama kampuni kubwa zaidi ya simu duniani mwaka 2025 kwa mara ya kwanza baada ya miaka 14, ikiwa na soko share ya karibu 20% na ukuaji wa 10% (Counterpoint Research). Mafanikio yao yanatokana na iPhone 17 series (Pro na Pro Max) ambazo zimekuwa na kamera bora, battery nzuri na ecosystem…

Read More