Kilimo cha njegere na soko lake
Njegere (Pisum sativum), pia inajulikana kama green peas au field peas, ni zao la jamii ya mikunde lenye thamani kubwa kiuchumi na kiafya. Ni chanzo kikubwa cha protini, nyuzinyuzi na madini. Kilimo chake kinazidi kuwa maarufu Tanzania kutokana na mahitaji makubwa ya ndani na nje, hasa sokoni la maji na mboga safi. Njegere hustawi vizuri…