Jinsi ya kulipia simu za mkopo
Simu za mkopo (au simu za instalment) zimekuwa maarufu sana Tanzania. Makampuni kama Vodacom, Tigo, Airtel, Yas, Watu Simu, PalmPay na wengine wengi hutoa fursa ya kununua simu za kisasa kama Samsung, Tecno, Infinix au hata iPhone kwa kulipa kidogo kidogo kila siku, wiki au mwezi. Hii inafaa kwa wanaotaka simu bora bila kulipa kiasi…