Maneno ya kuumiza moyo wa mwanamke

Katika makala hii tutapata kuona maneno ya kuumiza moyo wa mwanamke, Mtu yeyote anayemjua mwanamke vizuri anatambua jambo moja la msingi: moyo wake ni kama kioo kilicho nyeti sana. Unapovunja kioo kwa mkono, jeraha huonekana mara moja na damu hutiririka. Lakini unapovunja moyo wa mwanamke kwa maneno, jeraha halionekani kwa macho, lakini huuma kwa miaka…

Read More