Jinsi Ya Kulipwa Kupitia Upwork Ukiwa Tanzania/Kenya

Jinsi Ya Kulipwa Kupitia Upwork Ukiwa Tanzania Watu wengi Tanzania wanaifahamu Fiverr… lakini hawajui kuwa Upwork ina opportunities kubwa sana kwa freelancers wenye skills. Tatizo ni kwamba beginners wengi: wanafungua account, wana-apply kazi chache, wakikosa response wanakata tamaa. Halafu wanaanza kusema: “Upwork ni ngumu.” “Wanatakiwa watu wa nje tu.” Ukweli ni tofauti. Kuna watu Tanzania…

Read More