Faida za Kupiga Punyeto kwa Mwanaume – Ukweli halisi

Kupiga punyeto (masturbation) ni tabia ya kawaida na asili kwa wanaume wengi duniani. Ingawa jamii yetu mara nyingi huizungumzia kwa aibu, tafiti za kisayansi zimegundua kuwa ina faida nyingi za kiafya wakati inafanywa kwa kiasi. Makala hii inakuletea faida kuu zinazoungwa mkono na utafiti. Pia waweza soma makala hii: Jinsi ya kuongeza uume kwa colgate Soma…

Read More