Maneno mazuri ya kutongoza mwanamke
Kwa nini maneno mazuri yanafaa? Wanawake wengi hupenda kusikiliza maneno yanayowafanya wahisi wa pekee, wanathaminiwa, na wanavutia. Lakini siri ni hii: Usiwe na maneno mengi sana mara moja (usiwe “copy-paste king”). Tumia maneno yanayolingana na hali (uso kwa uso, SMS, au chat). Ongeza ucheshi mdogo au hisia za kweli ili asihisi ni scripted. Angalia macho,…