π Jinsi ya Kupata Wateja wa Kwanza 10 kwa Biashara Ndogo (Hata Kama Huna Experience)
Utangulizi Changamoto kubwa kwa biashara nyingi si mtajiβni wateja wa kwanza. Watu wengi hukata tamaa mapema kwa sababu wanasubiri wateja waje wenyewe. π Ukweli:Hakuna atakayekuja kama hujitafuti. Kama bado hujaanza biashara, anza hapa:π Biashara ndogo inayolipa kwa mtaji wa 50,000 Tsh Na epuka haya kabla hujaanza:π Makosa 5 yanayofanya biashara ndogo ishindwe Tanzania Step 1:…