Sababu Zinazofanya Bei ya Mafuta Kupanda Tanzania
Kila mwezi wananchi wengi Tanzania hujikuta wakikumbana na mabadiliko ya bei za petroli, dizeli na mafuta ya taa. Mara nyingine bei hupanda ghafla kiasi cha kuathiri usafiri, biashara na gharama za maisha kwa ujumla. Lakini swali kubwa ambalo watu wengi hujiuliza ni hili: Kwa nini bei ya mafuta hupanda mara kwa mara Tanzania? Wapo wanaodhani…