Jinsi ya ku renew leseni ya udereva

Kwa sasa (mwaka 2026), ku-renew leseni ya udereva Tanzania inafanywa kupitia mfumo mpya wa Tanzania Revenue Authority (TRA) unaoitwa IDRAS (Integrated Domestic Revenue Administration System). Mfumo huu ulianza kutumika rasmi kuanzia Februari 2025 kwa huduma za leseni ya udereva na usajili wa magari. Hii ndiyo hatua kwa hatua za kufuata ili ku-renew leseni yako ya…

Read More