Jinsi ya kurenew leseni ya biashara
Jinsi ya Kurenew Leseni ya Biashara Nchini Tanzania (Mwaka 2026) Kila mmiliki wa biashara nchini Tanzania anatakiwa kuwa na leseni ya biashara halali. Leseni hii inapaswa kurenew (kuhuishwa) kila mwaka ili biashara yako iendelee kisheria. Kutoirudisha kwa wakati kunaweza kusababisha faini, kufungwa kwa biashara au matatizo mengine na mamlaka. Siku hizi, mchakato wa kurenew leseni…