Jinsi ya kulipa kwa lipa namba halopesa
Lipa Namba HaloPesa ni huduma rahisi na salama inayotolewa na HaloPesa (Huduma ya malipo ya Halotel) inayoruhusu wateja kulipa bidhaa, huduma, bili, malipo ya serikali, LUKU, na zaidi kwa kutumia simu yao. Inafanya kazi kupitia USSD Code (15088#) au App ya HaloPesa. Ni moja ya njia rahisi zaidi Tanzania kwa kuwa mara nyingi haina makato…