Dalili 7 za mwanamke anakupenda lakini hafunguki na jinsi ya kumuelewa
Mwanamke anaweza kukupenda sana lakini asifunguke moja kwa moja kutokana na aibu, hofu ya kukataliwa, au kutaka kuwa na hekima. Badala ya maneno, hisia zake huonekana kupitia vitendo vidogo na tabia. Hapa kuna dalili 7 zinazojulikana sana: Anakutazama kwa muda mrefu au anakukwepa macho Anakuangalia kwa siri au macho yanapokutana anageuza haraka. Hii inaonyesha aibu…