Maana ya PCM, PCB, CBG, EGM na HGE Form Five: Tafsiri Kamili, Fursa za Kazi na Masomo ya Juu 2026/2027
Maana ya PCM, PCB, CBG, EGM na HGE Katika Elimu ya Kidato cha Tano (Form Five) Tanzania Katika mfumo wa elimu ya sekondari Tanzania, kuingia Kidato cha Tano (A-Level) ni hatua muhimu sana katika maisha ya mwanafunzi. Baada ya kufaulu mtihani wa Kidato cha Nne, wanafunzi huchaguliwa kujiunga na tahasusi (combinations) mbalimbali kulingana na matokeo…