Mafunzo ya JKT Huchukua Muda Gani? – Ratiba na Maisha ya JKT kwa Form Six
Mafunzo ya JKT Huchukua Muda Gani? – Ratiba na Maisha ya JKT kwa Form Six Wahitimu wengi wa kidato cha sita wanaochaguliwa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) hujiuliza swali moja muhimu sana: mafunzo ya JKT huchukua muda gani? Hili ni swali ambalo hutafutwa sana kila mwaka hasa baada ya majina ya waliochaguliwa JKT…