majina ya waliochaguliwa kujiunga na veta 2025 2026 download
Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA kwa Mwaka 2025/2026 – Jinsi ya Kupakua Orodha Rasmi Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetoa orodha ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA. Orodha hii inahusu intake ya 2025/2026 (au mwaka wa masomo unaoanza Januari 2026). Waombaji 14,433…