Makosa 7 Wanawake Hufanya Wanapomtongoza Mwanaume (Yanayomfanya Akukimbie)

Kumtongoza mwanaume si tatizo. Lakini namna unavyofanya inaweza kukufanya umpate… au umpoteze kabisa bila hata kuelewa kilichotokea. Wanaume wengi hawasema wazi kwa nini wamepoteza interest, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi chanzo huwa ni mambo madogo wanawake hufanya bila kujua. Haya hapa ni makosa ya kawaida yanayoharibu attraction. Kama bado hujaisoma, soma pia: 👉 Jinsi…

Read More