Matokeo Kidato cha Sita 2026/2027|Form Six NECTA ACSEE Results 2026/2027
Matokeo ya mtihani wa kidato cha sita (Form Six) ya mwaka 2026/2027 yametolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Haya ni matokeo muhimu sana kwa wanaotaka kuendelea na vyuo vikuu au kozi mbalimbali. Hapa nimeandika mwongozo rahisi wa jinsi ya kuangalia matokeo yako kwa haraka na salama. Njia ya Kwanza: Kupitia SMS Piga 152*00#,…