Matokeo ya Darasa la Saba 2025 Shule za msingi
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) lilitangaza rasmi matokeo ya mtihani wa darasa la saba 2025 tarehe 5 Novemba 2025 jijini Dar es Salaam. Mtihani huu (Primary School Leaving Examination – PSLE) ulifanyika kuanzia Septemba 10, 2025, na ulihusisha maelfu ya wanafunzi kutoka shule za msingi kote nchini. Matokeo yametolewa kwa wakati mzuri, na wanafunzi wanaweza…