Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akuthamini Baada ya Kukuona Kwa Mara ya Kwanza
Ukweli ni huu: 👉 Sekunde chache za mwanzo zinaweza kuamua kila kitu. Mwanaume anaweza kukuona, akavutiwa… au akapoteza interest bila hata wewe kujua kwanini. Lakini habari njema ni hii: 👉 Unaweza kudhibiti first impression yako kwa kiwango kikubwa sana. Hizi hapa ni njia za kumfanya mwanaume akuone wa thamani tangu mwanzo. 1. Jinsi Unavyojibeba (Presence)…